kambarage

The Order of Mwalimu Julius Kambarage Nyerere (Swahili: Nishani ya Mwalimu Julius Kambarage Nyerere) is an award of the Tanzanian Honours System for retired presidents elected democratically. It is named after Julius Nyerere, the nation's first president.

View More On Wikipedia.org
  1. T

    Pre GE2025 Mhandisi James Jumbe Wiswa, amechangia mifuko 100 ya saruji kwa ajili ya ujenzi wa uzio katika Kituo cha Afya Kambarage Manispaa ya Shinyanga

    Mjumbe wa Kamati ya Utekelezaji Jumuiya ya Wazazi Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Mjini, Mhandisi James Jumbe Wiswa, amechangia mifuko 100 ya saruji kwa ajili ya ujenzi wa uzio katika Kituo cha Afya Kambarage Manispaa ya Shinyanga. Mhandisi Jumbe amekabidhi mifuko hiyo ya saruji wakati wa...
  2. A

    KERO Mwenyekiti wa Mtaa wa Kambarage, Kata ya Igogo - Nyamagana ananyanyasa sana Wafanyabiashara, kuwafungia biashara zao bila sababu

    Mwenyekiti wa Mtaa wa Kambarage, Kata ya Igogo, Wilaya ya Nyamagana amekuwa akiwafungia na kuwaamuru Wafanyabiashara kufunga biashara zao akitumia nguvu bila sababu za msingi. Amekuwa akitumia Kundi la Askari wa Jeshi la Mgambo pamoja na Askari Jamii, wakiwafungia Wafanyabiashana maduka yao...
  3. N

    Mambo 10 ya kiuongozi yanayomfananisha Rais Samia Suluhu Hasan na hayati Julius Kambarage Nyerere

    1. Wote ni wapenda amani na umoja, kama Mwalimu Nyerere alivyopigania amani, Rais Samia anahakikisha Tanzania inabaki kuwa nchi ya utulivu. 2. Nguli wa Kiswahili, Mwalimu Nyerere alijenga misingi ya Kiswahili, Rais Samia anaipeleka lugha hii kimataifa, "Tunamwita Mama Global" 3. Mafundi wa...
  4. Mtoa Taarifa

    Leo ni kumbukumbu ya miaka 25 ya Kifo cha Baba wa Taifa Mwalimu Julius K Nyerere, unakumbuka nini kuhusu huyu mzee?

    Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, Baba wa Taifa na Rais wa kwanza wa Tanganyika (baadaye Tanzania), alikuwa kiongozi mwenye ushawishi mkubwa barani Afrika na duniani. Katika kumbukumbu ya miaka 25 ya kifo chake, haya ni mambo 7 muhimu kuhusu Nyerere: 1. Muanzilishi wa Taifa la Tanzania: Nyerere...
  5. Mohamed Said

    Nyerere Day: Maktaba Inavyomuadhimisha Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere (1922 - 1999)

    NYERERE DAY: MAKTABA INAVYOMUADHIMISHA BABA WA TAIFA Leo ni Nyerere Day. Leo ni siku ya mapumziko. Taifa linamuadhimisha Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere. Maktaba yangu ni kati ya maktaba tatu zilizosheheni historia ya Mwalimu Nyerere. Maktaba ya kwanza ni ya Dr. Salim Ahmed...
  6. Mzee wa Code

    DOKEZO Shule ya Msingi Kambarage - Dodoma haina Ofisi ya Mwalimu Mkuu na Walimu wengine, wanabanana kwenye chumba kidogo

    Kati ya mambo yanastaajabisha nchi hii ni viongozi kuendekeza mambo yasikuwa na tija kwa wananchi na jamii, Serikali imeshindwa kujenga jengo la Ofisi ya Mwalimu Mkuu na Waalimu katika Shule ya Kambarage inayopatika ndani hya Jiji la Dodoma maeneo Vyeyula. Shule hii yenye Walimu 12...
Back
Top Bottom