Sifahamu mengi kuhusiana na bunge la sasa!
1. Nani kiongozi wa kambi rasmi ya upinzani bungeni?
2. Nani mnadhimu wa kambi ya upinzani?
3. Kuna mawaziri vivuli katika bunge la sasa? Wamepatikanaje?
Wanabodi,
Naangalia Bunge live asubuhi hii, kusubiria hotuba ya hali ya uchumi, ndio nikakumbuka kumbe leo ni siku ya Alhamisi, ni siku ya maswali ya moja kwa moja kwa Waziri Mkuu, sasa naomba kuuliza, jee kuna uwezekano wa kukosekana kwa kambi rasmi ya upinzani Bungeni, kumepelekea kupunguza...
kiujumla, upinzani umekata tamaa kabisa, licha ya ukweli kwamba ukata wa fedha za kufanya mikutano ya hadhara, umekita mizizi kwenye vyama vyao.
hakuna uhakika wa chochote katika chaguzi zijazo, licha ya kwamba mazingira sawa ya kufanya siasa yamewekwa na serikali iliyopo madarakani.🐒...
Wadau nawasalimu naomba wenye uelewa mpaka watujuzi
Tanzania ni nchi huru yenye katiba yake. Katiba ya Tanzania ina sema Tanzania ni nchi ya mfumo wa vyama vingi vya siasa na bunge ni la vyama vingi.
Hivyo kutakuwa na wabunge wa chama tawala na wabunge wa vyama vya upinzani ambao wataunda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.