Ni wazi kuwa kitisho cha kupigana na Hizbullah ana kwa ana upande wa Israel wamekiona na wameamua waufyate tu.
Inavyoonekana Hizbullah hawajafikiria kwamba vita bado havijaanza rasmi na ndio maana wanarusha makombora ya katyusha mpaka 200 kwa siku ambayo yanapiga kambi za jeshi la Israel...