Klabu ya soka ya Azam, imetangaza ya kwamba, itaanza rasmi kambi yake ya kujiandaa kwa ajili ya msimu ujao Julai 9 mpaka Julai 30, 2023. Kwa mujibu wa taarifa ya klabu hiyo, kambi itakuwa katika Mji wa Sousse nchini Tunisia.
Jumapili ya wiki hii, kikosi cha Azam FC kinatarajiwa kusafiri...