kambi

Kambi Group Plc is a B2B provider of sports betting services to licensed B2C gaming operators. The company provides a software platform with front end user interface, odds compiling, customer intelligence and risk management.
Kambi Group is listed on First North at Nasdaq Stockholm under the symbol "KAMBI". The company is eCOGRA certified, with Redeye AB as certified advisor .

View More On Wikipedia.org
  1. Kambi ya Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) yavamiwa wawili wauawa, 6 wajeruhiwa

    Kamanda wa polisi mkoa Kigoma Filemon Makungu (wa pili kushoto) akitoa taarifa kwa waandishi wa habari kuhusiana na kuuawa kwa watu wawili na wengine sita kujeruhiwa na wafugaji katika kijiji cha Mvinza wilaya ya Kasulu mkoani Kigoma. Watu wawili wamekufa na wengine 6 kujeruhiwa baada ya watu...
  2. T

    Mwakinyo aliuza mechi kwa kambi ya Liam Smith

    Bila ya salamu Habari za chinichini ni kuwa bondia Hassan Mwakinyo ,alivua mkwanja mrefu kutoka kwa kambi ya Liam Smith ili auze pambano lake ktk hali ya kushangaza na kustaajabisha kabisa kwa ku-fake majeraha ya kifundo cha mguu Mwakinyo amelipa fadhila kwa Liam kwa kitendo chake cha...
  3. Kenya 2022 Kambi ya Ruto haijafurahishwa na ukimya wa Rais Kenyatta

    Ukimya wa Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta kuhusu ushindi wa William Ruto imedaiwa haupokewi vizuri na kambi ya Ruto licha ya maandalizi ya maandalizi ya makabidhiano ya ofisi kuendelea kwa amani. Rais Kenyatta amekutana na vingozi wa dini Ikulu na kuwaaga akiwaeleza makabidhiano yatafanyika kwa...
  4. Shaka amwagiza waziri wa Kilimo kumfukuza kazi mara moja Geophrey Chiliga mrajisi wa Ushirika Mkoa wa Tabora

    CCM YAMUAGIZA WAZIRI WA KILIMO KUMUONDOA MRAJISI VYAMA VYA USHIRIKA TABORA Ni kutokana na kudaiwa kuwa chanzo cha kukwamisha usajili wa Vyama vya msingi kwa wakulima wa tumbaku Shaka apigilia msumari wa mwisho...CCM haitokubali kuona mkulima akiendelea kuteseka* Na Mwandishi Wetu, Tabora...
  5. M

    Shaka: Rais Samia ametoa fursa za mikopo kwa Vijana, wanawake na walemavu wote hata kwa wale wa kambi za Upinzani

    Katibu wa Nec Itikadi & Uenezi Ndg Shaka Hamdu Shaka akiwa katika mwendelezo wa ziara zake kanda ya Magharibi amenukuliwa na vyombo mbalimbali vya habari akisema " Chama cha Mapinduzi hakitatazama Itikadi katika kuwanufaisha vijana, wanawake na wenye ulemavu kutoka katika fursa mbalimbali...
  6. Baada ya Crimea, matukio ya milipuko mingine yaibuka kambi za jeshi Urusi na Belarus

    Nahisi kuna ujumbe unatumwa kwa Putin kwamba popote kambi na kinaweza kikanuka hata sebuleni kwake kiaina bila kombora kutumwa kutoka Ukraina.....kwamba humo humo jeshini kwake wenyewe kwa wenyewe wanaweza kuliamsha.... Military bases in Russia and Belarus were rocked by an outbreak in fires...
  7. Yanayoendelea kwenye kambi ya Singida Big Stars jijini Arusha (Pre-season Camp)

    Watu wa Soka, Timu yetu Singida Big Stars imeweka kambi hapa Njiro jijini Arusha kwa ajili ya kujiandaa na msimu ujao wa Ligi Kuu Tanzania Bara msimu wa 2022/23. Tulichagua kuweka kambi (Pre season camp) hapa Arusha kutokana na sababu kadhaa ikiwemo hali ya hewa nzuri na mazingira yenye...
  8. N

    Picha: Kambi ya Yanga inatisha, ina sauna

    Niseme tu yanga ndiyo klabu inayoendeshwa kwa mpangilio wa hali ya juu yaani level za la liga, communication kati ya kitengo hadi kitengo ni ya hali ya juu na kwa nidhamu ya hali ya juu sana Ukiangalia hizi picha kutoka MJI WA AVIC walipoweka kambi unadhani ni nini kiwatoe nje ya Tanzania...
  9. Vyombo vya habari vyavamia kambi ya Simba SC

  10. M

    KWELI Bodaboda atumwa barua yenye ujumbe wa kulipua Kambi ya Lugalo kati ya Novemba 20 hadi 27, 2021

    Katika hali isiyokuwa ya kawaida na iliyozua Maswali mengi na Taharuki ya Kiusalama Kawe ni kwamba Kijana Mmoja Dereva Bodaboda amejikuta matatani baada ya kutumwa kupeleka Barua yenye Ujumbe wa Tishio katika Kambi ya Jeshi ya Lugalo. Ilikuwa ni Siku ya Jumapili iliyopita ambapo Kijana huyo (...
  11. Pre- Season: Singida Big Stars tunaenda kuweka kambi Geneva ya Afrika

    Watu wa Soka, Tumechagua Jiji la Arusha liwe kambi yetu maalum kwa ajili ya maandalizi ya msimu ujao wa Ligi Kuu 2022/23 (Pre-Season). Arusha patatufaa sana kwa sababu ni Jiji Tulivu, Hali ya Hewa nzuri, pia mazingira yake yanavutia, hivyo itasaidia wachezaji wetu kuwa focused. Timu itaweka...
  12. Jeshi la Uganda limegundua kambi ya mafunzo ya Wanamgambo wa Kiislamu

    Jeshi la uganda limesema kuwa limegundua kituo cha mafunzo kwa wpiganaji wa kiislam Km 60 tu kutoka kampala, watu watatu wanashikiriwa, aidha vyuma vya kutengenezea milipuko vilipatikana pia. Mamlaka zinalaumu wapiganaji wa ADF walijichimbia katika misitiu ya Kongo kwa mashambulizi ya milipuko...
  13. Kambi ya TAIFA ya Jumuiya ya Madola ya Riadha Yasambaratika, Serikali Yashindwa kulipa

    Kwa mara ya kwanza kambi ya Riadha iliwekwa West Kilimanjaro, ilipomaliza Mafunzo ya huko, ikaamishiwa Olmotonyi Arusha, baada ya Serikali kushindwa kulipa pango , timu ikahamia Chuo Cha Habari Maalum Jijini Arusha, huku Nako wakatimuliwa baada ya kushindwa kulipa bili Mbalimbali, ikiwemo...
  14. Burkina Faso: Wanajeshi 11 wafariki katika shambulio kwenye Kambi ya Jeshi

    Wanajeshi 11 wameuawa huku wengine kadhaa wakijeruhiwa katika shambulio lililotokea Katika Kambi ya Jeshi Mashariki mwa Burkina Faso, lakini Jeshi lilijibu mapigo na kuwaua waasi 15 wakati wakitoroka baada ya kufanya shambulizi hilo. Kwa miaka sita taifa hilo limekuwa likisumbuliwa na mapigano...
  15. Habari! Shedrack David From Chugastan

    Habari! Shedy David from Chugastan hapa. Nami nasema hodi Jf. Hivi ni forum gani huwa inakua active sana humu niweke kambi huko?
  16. Somalia: Al Shabaab yashambulia kambi ya wanajeshi wa AU

    Kundi la Al Shabaab la Somalia limeshambulia kambi ya wanajeshi wa Umoja wa Afrika (AU) katika Mkoa wa Shabelle katikati mwa nchi hiyo, ikidaiwa raia watatu wamepoteza maisha katika mapigano hayo. Mkazi mmoja anayeishi katika kijiji kilicho karibu na eneo la tukio, alisema baadaye aliona...
  17. Rais Samia, imulike Bandari ya Dar nchi inahujumiwa, kaweke Kambi pale Bandarini

    Meli za kutoka Dubai kuja DSM huchukua siku 14, Mzigo ukifika Dar Es Salaam bandarini utakaa siku hata 20-28 ukisubiri kupakuliwa. Meli ikitoka UK au China itatumia siku 28-30 kufika Dar, Mzigo ukifika hapo Bandarini unachukua siku 20-28 zingine kupakuliwa. Gharama za Usafiri imebidi...
  18. Kambi ya Timu ya Taifa ya Riadha kuanza Mapema

    Mashindano ya Jumuiya ya Madola yanatarajiwa Kufanyika Birmingham,Uingereza na Mashindano ya Dunia Kufanyika Oregon, Marekani Mapema Julai Mwaka Huu. Hivyo, Baraza la Michezo Tanzania (BMT) wakishirikiana na Shirikisho la Riadha Tanzania (AT) wameanza kusaka maeneo ya kuwaweka Wanariadha wa...
  19. W

    Katibu Mkuu CCM taifa Daniel Chongolo afunga kambi la UVCCM wilaya Muleba

    KATIBU MKUU CCM TAIFA NDG DANIEL CHONGOLO AFUNGA KAMBI LA UVCCM WILAYA MULEBA. Kagoma, Muleba. Katibu Mkuu wa CCM Taifa Ndugu Daniel Chongolo Katika ziara yake pamoja na Sekretrieti ya CCM Taifa Amefunga kambi la UVCCM lilioandaliwa na Uongozi wa UVCCM Wilaya Muleba Chini ya Mwenyekiti wake...
  20. Mgogoro na Mgongano ndani ya CCM. Team Samia Vs Team Magufuli

    CHANZO SAHIHI Kuna Mgongano Mkubwa sana ambao unaitesa Serikali Na CCM. Juzi maeneo ya Area C Ndani ya Kihoteli kidogo Double K Dodoma haya yamebainika, Hakuna jambo liliwashtua watu kama Magufuli kuondoka Hasa Wale walikuwa wanamsujudu, Wale akina Kesi, Mlinga, Ndugai na Msukuma Bungeni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…