Jeshi la Polisi Tanzania, liliagizwa na Makamu wa Rais Hon Philip Mpango kuhakikisha wanavaa kamera ambazo zitaonyesha vitendo vyao vyote wawapo barabarani, hapa namaanisha Traffick mnamo 11-5-2024.
Traffick wamekuwa wakilalamikiwa sana, japo ni kama wanaonewa maana kwanza wanavaa nguo nyeupe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.