Habarini!!
Kama Kuna kitu kimekuwa kinanitatiza maishani basi ni namna ya kupangilia mchanganyiko wa makundi mbali mbali ya vyakula ili kupata mlo kamili.
Ombi langu kwa anayejua mlo kamili ni nini, anipe mifano miwili mitatu, nile nini na nini ili nipate mlo kamili?!
Mungu akubariki!