kamisheni umoja afrika

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mindyou

    Mahamoud Ali wa Djibouti ashinda nafasi ya Uenyekiti wa Kamisheni ya Umoja wa Afrika (AUC) dhidi ya Raila Odinga kutoka Kenya

    Waziri wa Mambo ya nje wa Djibouti Mahamoud Ali Youssouf ameshinda nafasi ya Uenyekiti wa Kamisheni ya Umoja wa Afrika maarufu (AUC). Katika Uchaguzi ambao ulikuwa nchini Ethiopia Mahamoud alishinda dhidi ya Raila Odinga ambaye alikuwa mwakilishi pekee kutoka Afrika Mashariki Raila alishinda...
  2. F

    Uchaguzi wa Mwenyekiti wa kamisheni ya Umoja wa Afrika (AUC) waingia duru ya pili. Odinga atashinda?

    Raila 21 na mgombea wa djibouti,Mohamed youssef kura 24,ila mambo bado,tusubiri
  3. ChoiceVariable

    Kinyang'anyiro cha Uenyekiti wa AUC: Mahamoud Yousouf wa Djibouti amkalia kooni Raila Odinga wa Kenya. Asipopata Ruto ajiandae

    Wakati uchaguzi wa Mwenyekiti wa Kamisheni ya Umoja wa Afrika Au Chairman Ukiwa umekaribia,joto linazidi kupanda. Wagombea Wakuu ni Waziri wa Mambo ya Nje wa zamani wa Djibouti Mahamoud Ali Yousouf na Raila Odinga wa Kenya ambae Aliwahi kuwa Waziri na Kinara wa vurugu za Kila mara za uchaguzi...
Back
Top Bottom