Waziri wa Mambo ya nje wa Djibouti Mahamoud Ali Youssouf ameshinda nafasi ya Uenyekiti wa Kamisheni ya Umoja wa Afrika maarufu (AUC).
Katika Uchaguzi ambao ulikuwa nchini Ethiopia Mahamoud alishinda dhidi ya Raila Odinga ambaye alikuwa mwakilishi pekee kutoka Afrika Mashariki
Raila alishinda...
Wakati uchaguzi wa Mwenyekiti wa Kamisheni ya Umoja wa Afrika Au Chairman Ukiwa umekaribia,joto linazidi kupanda.
Wagombea Wakuu ni Waziri wa Mambo ya Nje wa zamani wa Djibouti Mahamoud Ali Yousouf na Raila Odinga wa Kenya ambae Aliwahi kuwa Waziri na Kinara wa vurugu za Kila mara za uchaguzi...