kamisheni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waziri Prof. Kabudi aufuta Uongozi wa Kamisheni ya Ngumi za Kulipwa Tanzania (TPBRC) kutokana na tuhuma mbalimbali

    Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Prof. Palamagamba Kabudi ameufuta Uongozi wa Kamisheni ya Ngumi za Kulipwa Tanzania (TPBRC) baada ya uchunguzi wa tuhuma mbalimbali zilizowasilishwa na wadau wa mchezo wa ngumi. Taarifa kutoka Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo imeeleza...
  2. Tanzania inasimama na nani katika mchuano wa mwenyekiti wa kamisheni ya Umoja wa Africa(AU) kati ya SADC na Africa Mashariki(EAC)?

    SADC imewataka wanchama wake wote kumuunga mkono mgombea wa anayetoka Madagascar lakini upande Africa Mashariki yupo Raila Odinga. Hapa Tanzania inapigaje ikiwa mwanachama wa jumuiya zote mbili?!
  3. Simbu akatwa jina na Henry Tandau na Ghulam kwenye uchaguzi wa kamisheni

    Mwanariadha wa kimataifa Alphonce felix Simbu aliyekuwa anagombea uongozi wa Kamisheni ya Wachezaji (KAWATA) wa Olimpiki Tanzania jina lake limekatwa na wazee wa wanafiki na wazadiki wa TOC, ambao ni Henry Tandau na Rashid Ghulamu Sababu kubwa ni yeye simbu kukataa kukimbilia kampuni ya Asics...
  4. Rais wa TAHLISO atengua uteuzi wa Naibu Kamishna wa Kamisheni ya Mikopo na Ufadhili

    TAARIFA KWA UMMA 18 Septemba 2024 Rais wa Jumuiya ya Wanafunzi Taasisi za Elimu ya Juu Tanzania, Mhe. Zaynab Iddy Kitima ametengua uteuzi wa Ndg. Ibrahim Shukran Aloyce, Naibu Kamishna wa Kamisheni ya Mikopo na Ufadhili. UFAFANUZI WA RAIS WA TAHLISO Alipoulizwa na JamiiForums.com kuhusu maamuzi...
  5. Nchi ngumu sana hii, Airtel nao wamepunguza Kamisheni kwenye miamala

    Mjanja M1 naelekea kuiacha hii biashara ya miamala maana naona mazoea yamezidi kila uchwao, walianza Tigopesa kupunguza asilimia 10% kwenye miamala na sasaivi Airtel wamefuata huo Utoto. Yani hapa nimlipe Mfanyakazi, nilipe pango, nilipe TRA n.k Aisee! Hii nchi kila mtu anajiamulia atakacho...
  6. Kamisheni ya ngumi za kulipwa Tanzania mtatuambia nini kuhusu pambano la Mwakinyo?

    Pambano la Mwakinyo na bondia kutoka Ghana limeshindwa kufanyika kwa kuwa Rais wa WBO, Samir Captan hakuwepo uwanjani kuleta mkanda. Maelezo ya Hassan Mwakinyo ni kuwa jamaa hajalipwa hela za mchezo huo. Kwa kushindwa kuwepo kwa mkanda uliokuwa unashindaniwa pambano limeshindwa kuchezwa. Fedha...
  7. Ni kweli Jakaya Kikwete anagombea Uenyekiti wa Kamisheni ya AU?

    Ndugu habari za muda huu, naomba kuuliza kwa wadau mbali mbali na hata serikalini kama inawezekana tupewe majibu kabla sijatoa ya moyoni. Kuna tetesi huko huko duniani nazisikia naomba uthibisho wake maana kuuliza si ujinga. Pia soma: Wafahamu Wagombea wa Uenyekiti Kamisheni ya Umoja wa...
  8. Kwanini Voda wanatoa Kamisheni ndogo kwa Mawakala?

    Habari zenu, Nina ofisi zangu za Uwakala wa mitandao ya simu na nimekuwa nashangazwa na Kamisheni ndogo zinazotolewa na Vodacom. Mitandao mengine ipo vizuri kiasi chake lakini Vodacom wamekuwa wanabana sana Commission kwenye miamala ya kuweka na kutoa. Hii hali imeenda mbali zaidi kwani hata...
  9. B

    Malalamiko ya Dulla Mbabe na Ibra Class kwa kupoteza pambano dhidi ya Katompa ni sawa na mfa maji

    Nimeskitika sn Dulla na Ibra Classic kulalamikia chama Cha ngumi Tanzania eti Dulla alikuwa ameshinda. Kibaya zaidi Ibra Classic anaongea bila aibu eti majaji wameshindwa kumbeba Dulla kwa sababu hata wao wanapoenda Ulaya huwapiga wazungu lakini majaji huwabeba wazungu wenzao...
  10. Rais Samia awatunuku kamisheni maafisa wanafunzi kundi la 04/29 bms na kundi la 70/22 regular Chuo cha Maafisa cha Kijeshi Monduli

    Rais wa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwatunuku kamisheni maafisa wanafunzi kundi la 04/29 bms na kundi la 70/22 regular chuo cha maafisa cha kijeshi, Monduli mkoani Arusha leo tarehe 18 Novemba, 2023. https://www.youtube.com/live/21P0ou6g_Zg?si=sYJGE53fEu5KKbRP...
  11. Kikao cha 77 cha Kamisheni ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu, leo Oktoba 20, 2023

    Kikao cha 77 cha kawaida cha Kamisheni ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu kinaanza tarehe 20 Oktoba, 2023, na kinatarajiwa kuendelea hadi tarehe 09 Novemba, 2023. Washiriki wanajumuisha wawakilishi kutoka mataifa mbalimbali ya Afrika na nje ya Afrika.Jumla ya washiriki 700 wamesajili kutoka...
  12. B

    Rais wa kamisheni ya Ulaya afika Israel, alaani ugaidi

    Bi. Ursula von der Leyen rais wa Kamisheni ya Ulaya European Commission https://m.youtube.com/watch?v=Y8VWXACReew Atembelea maeneo ya Kfar Azza kusini mwa Israeli katika moja ya Kibbutz yaliyovamiwa na magaidi wa HAMAS, na kuelezea mambo ya kutisha dhidi ya haki ya kuishi waliotendewa...
  13. Airtel wameniibia kamisheni yangu ya mwezi wa nane

    Mimi ni wakala na nina laini za uwakala za mitandao yote: Tigo, Voda, Halotel, na Airtel. Sasa, kwenye hizi laini, Airtel ndiyo wanaongoza kwa kunipa kamisheni kubwa. Hii ni kwa sababu huku kwetu kuna wateja wengi wa mtandao huu. Pia, nina laini za lipa kwa simu kwa mitandao ya Voda, Tigo, na...
  14. Dkt. Kyaruzi Katibu Mtendaji mpya Kamisheni ya Bonde la Mto Songwe

    BARAZA la mawaziri la Kamisheni ya Pamoja ya Bonde la Mto Songwe limemteua Dkt. Mhandisi Ladislaus Kyaruzi Leonidas kuwa Katibu Mtendaji wa kwanza wa Kamisheni ya Pamoja ya Bonde la Mto Songwe (SONGWECOM). Kamisheni ya Pamoja ya Bonde la Mto Songwe inaundwa kwa pamoja na nchi za Tanzania na...
  15. Kamisheni ya Afrika Haki za Binaadamu yakutanishwa na wahuni wa Arusha?

    WAKUU, Tangu asubuhi leo Watu wa haki za binaadam wamejifungia wanaojiita The commission on human and peoples' rights wamejifungia chumbani na baadhi ya watu waliookotwa na wanaharakati wanaotumika kulichafua taifa letu na kumchafua Rais Samia kuhusiana na masuala mbalimbali yenye tija kwa...
  16. Jinsi Ninavyoanza Kutoa Huduma Za Udalali Wa Viwanja, Mashamba Na Nyumba Mwaka 2023

    PILI; Jinsi Ninavyoanza Kutoa Huduma Za Udalali Wa Viwanja, Mashamba Na Majengo Makala iliyopita nilikushirikisha jinsi nitavyofanya endapo nitakosa fedha kwa ajili ya kununulia nyumba ya kupangisha. Nilitaja mambo ambayo ninaanza nayo. Mambo hayo ni;- ✓ Kumiliki mtandao wa mauzo ya viwanja...
  17. EALA wapitisha muswada wa Kamisheni Huduma za Fedha

    BUNGE la Jumuiya ya Afrika Mashariki (EALA), limepitisha muswada wa Kamisheni ya Huduma za Fedha ya Afrika Mashariki (EAC). Muswada huo wa mwaka 2022 unalenga kuanzishwa kwa kamisheni kama taasisi huru yenye majukumu, mamlaka, vyanzo vya fedha na makao yake makuu. Kupitishwa kwa muswada huo...
  18. Rais Samia awatunuku Kamisheni wanafunzi wa JWTZ Monduli, leo Novemba 26, 2022

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiwatunuku Kamisheni Maafisa Wanafunzi Kundi la 03/19 - Shahada ya Sayansi ya Kijeshi na Kundi la 69/21 Refu Pamoja na Mahafali ya tatu ya Shahada ya Sayansi ya Kijeshi Kundi la 03/19 katika Chuo cha Mafunzo ya Kijeshi (TMA) - Monduli...
  19. Kamisheni ya Ulaya yapendekeza Uanachama wa Ukraine

    Kamisheni ya Ulaya imetoa mapendekezo ya kutaka Ukraine iruhusiwe kuwa mwanachama wa Umoja wa Ulaya, kauli ambayo imetolewa wakati Urusi ikiendelea kushinikiza Nchi hiyo kutoruhusiwa kujiunga na Umoja huo. Halmashauri Kuu ya Umoja wa Ulaya, ambacho ndicho chombo kikuu cha utendaji cha Umoja...
  20. U

    Za chinichini wasaf BET ni ya wakenya, anakula kamisheni

    Ndo ukweli, I kwamba ni yake kwa asilimia 100, sema hawasemagi ukweli, c angesema ameingia ubia na kampuni ya Kenya kwani Nini mbaya. Hongera kwa platinum, Ila natafuta karanga zako na pafyum mtaani sizioni. Imperial Kenya karibuni muwekeze Rais kashafungua njia, muue kabisa na makampuni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…