Kutokana na kukamatwa na Jeshi la Polisi kwa watuhumiwa wawili wanaodaiwa kufanya udanganyifu kuwa wao ni maafisa wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) na kuwa wanao uwezo wa kusamehe madeni ya kodi, Kamishna Mkuu wa TRA Yusuph Juma Mwenda amesema hakuna mtu yeyote mwenye uwezo wa kisheria kufuta...
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi amemteua Said Kiondo Athumani kuwa Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Zanzibar (ZRA).
Kabla ya uteuzi Said alikuwa ni Mkufunzi Mkuu Chuo cha Kodi cha Mamlaka ya Mapato Tanzania.
Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bw. Yusuph Mwenda leo tarehe 21.11.2024 amekutana na kufanya mazungumzo na Afisa Mtendaji Mkuu wa benki ya NMB Bi. Ruth Zaipuna ambapo wamezungumzia mambo mbalimbali ya kikodi.
Baada ya kikao cha Wakuu wa Mamlaka za Mapato za Nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki #EARACGs, mjini Nairobi, Kamishna Mkuu TRA Bw. Yusuph Mwenda ametembelea ubalozi wa Tanzania nchini humo na kuwashukuru watumishi wa ubalozini kwa kazi ya uwezeshaji wa shughuli za kibiashara...
Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza nchini, Mzee Ramadhani Nyamka anasikitika kutangaza kifo cha aliyekuwa Kamishna Mkuu wa Jeshi la Magereza Tanzania Bara kuanzia Mwaka 1983 hadi 1992 (Pichani), Simon Amon Mwanguku kilichotokea leo Alfajiri tarehe 28 Julai, 2024 katika Hospitali Kuu ya Jeshi...
Wakubwa habari zenu.
Kamishna mkuu wa sasa Kidata toka apewe hii ofisi kumekua na ongezeko la kodi zisizo na tija kwa walipa kodi. Ameleta sheria nyingi ambazo zimeshindwa kuwasaidia walipa Kodi bali zinawakandamiza.
Nikiangalia uongozi wa Mhede na kidata Mhede yuko mbele sana aliweza kuwabana...
Mheshimiwa Kamishna Mkuu wa TRA, nachukua fursa hii kukuomba uingilie kati uonevu unaofanywa na wasaidizi wako kwenye uhamisho unaoendelea sasa.
Nimefanya kazi TRA miaka mingi lakini hali iliyojitokeza sasa si ya kufumbia macho.
Uhamisho si jambo baya kwenye utumishi, ni kawaida mfanyakazi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.