Mheshimiwa Kamishna Mkuu wa TRA, nachukua fursa hii kukuomba uingilie kati uonevu unaofanywa na wasaidizi wako kwenye uhamisho unaoendelea sasa.
Nimefanya kazi TRA miaka mingi lakini hali iliyojitokeza sasa si ya kufumbia macho.
Uhamisho si jambo baya kwenye utumishi, ni kawaida mfanyakazi...