kampani

  1. Magical power

    Mwanamke anapokuambia twende tukaoge wote si kwamba anataka kampani bafuni ila anaijua faida hii ya kuoga pamoja

    KAKA ANGU mwanamke anapokuambia twende tukaoge wote si kwamba anataka kampani bafuni ila anajua Faida ya kuoga pamoja kunafanya ajiamini ajihisi kupendwa na mkaogeshane kwasababu kuogeshwa kuna raha sana unaposafishwa kwa mikono yake , MWANAMKE mnaweza kufika naye bafuni yeye akatoa...
  2. Unique Flower

    I'm bored nipeni kampani

    Seriously waungwana tupeane kampani kama umeboreka Kama mie
  3. 44mg44

    Wanawake mlio single muda huu naomba kampani

    Wanawake wote mliosingo nawaomba mje mnipe kampani. Nawakaribisha sana, njooni na maneno matamu yaliyoshiba mahaba.
  4. sam315

    Mature lady karibu kampani iko hapa

    Hello wa JF Mimi ni mkaka nina miaka 33, nina elimu ya chuo nimemaliza 2011, nimejiajiri nipo Dar. Lengo la kuja hapa ni kuweka bayana kuwa nahitaji niwe na mahusiano na mwanamke aliyepevuka (kifupi aliyenizidi umri). Naamini wapo wanawake ambao wanahitaji mtu wa kuwasikiliza, kuwabembeleza...
  5. sungura23

    Upweke umenishinda jamani... mdada karibu kwenye maisha yangu

    Habarini wana JF? Hatimaye nimenyoosha mikono, upweke unanikondesha hivyo nimeamua kufunguka. Nahitaji kampani ya kike, sina ubaguzi sana ila yafuatayo yazingatiwe: 1. Uwe mchangamfu. Yaani uwe mdada ambaye unaweza kuwa huru kunitania, kunichokoza, uwe na stori za hapa na pale yaani kifupi...
Back
Top Bottom