Mbunge wa Shinyanga Mjini, Patrobas Katambi, ambaye pia ni Naibu Waziri wa Kazi, Vijana, Ajira na Watu wenye Ulemavu, amewahimiza wakazi wa jimbo lake kumpigia kura Rais Samia Suluhu Hassan katika uchaguzi mkuu wa 2025.
Akiwa katika ziara yake, Katambi alikutana na Wajumbe wa CCM wa Kata ya...
Chama cha Mapinduzi CCM Mkoa wa Morogoro kimewataka wanachama wa chama hicho pamoja na watia nia katika uchaguzi mkuu unaotarajia kufanyika Oktoba mwaka huu kuacha kujishughulisha na kampeni za uchonganishi ambazo tayari baadhi ya watu wamedaiwa kuanza kupita mtaani kuomba kura badala yake...
Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Morogoro Joseph Masunga amekemea vikali tabia inayofanywa na baadhi ya viongozi kufanya kampeni za chini chini kabla ya wakati kwani ni kinyume na Sheria za uchaguzi.
"Tunaelekea kwenye Uchaguzi ambao utafanyika Oktoba mwaka huu zipo tetesi kwamba kuna watu wanapita...
Baba Levo kupitia ukurasa wake wa Instagram ameeleza kuwa;
Nimeiangalia GAME Kwa Upana Wake NA Kuangalia Kipato Cha Msanii Mmoja Mmoja Nimegundua Vitu Vitatu ..!
1 MZIKI HAUNA NGUVU YA KUKAA TREND WIKI TATU..!
Tafsiri Yake Ni Kwamba Msanii Anatumia NGUVU Kubwa Kupata HIT SONG Lakini Haidumu...
Wakuu,
Mary ameenda kutoa onyo hilo huku akiwa mgeni mresmi wenye hafla ya kutoa 'zawadi' kwa wananchi, si ndio yale yale ama? Au ukiongozana na kiongozi mwingine ndio inaacha kuwa rushwa?
=====
Mwenyekiti wa UWT Taifa Mary Pius Chatanda (MCC) amekasirishwa na tabia ya baadhi ya wanasiasa...
Wakati zoezi la uchukuaji fomu za kugombea uenyekiti na ujumbe wa serikali za mitaa likiendelea nchini, wakazi wa Mtaa wa Kambarage mjini Njombe wameomba kampeni za kistaarabu zisizo na lugha za matusi pindi zitakapoanza.
Wananchi hao wamesisitiza umuhimu wa kampeni zenye kujenga umoja na...
Wamekuja na huu mzigo sijui wameagiza contena ngapi uko china
Na baadhi ya wabongo walivyo wapuuzi wata piga kula kisa kapewa kiatu na sio kuchambua sela
Nchi kwetu Tanzania katika kipindi hichi cha miaka hii 2, taifa litakuwa bize kwenye uchaguzi wa Serikali za Mitaa ambao utafanyika November 27, 2024. Na uchaguzi mkuu ambao utafanyika 2025.
Katika kipindi hiki wanasiasa wameshaanda sukari zao za hoja kuja kudanganya au kusema ukweli wakati...
Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo Chama cha Mapinduzi (CCM), Amos Makalla amesema wamejipanga kuwafikia wananchi kupitia ziara zinazofanywa na viongozi wao ikiwa ni maandalizi kuelekea uchaguzi wa Serikali za mitaa na uchaguzi mkuu.
Makalla amesema hayo leo Jumanne Agosti 6, 2024 katika...
Ccm si chama cha kufanya nao maridhiano, ni genge la wahuni.
Mama Samia siku ya 5 leo yupo Morogoro kwa ziara rasmi ya kiserikali lakini badala yake ziara hiyo inatumika kufanya kampeni chafu za CCM.
Kwa wanaofuatilia hiyo ziara tayari Hadija Kopa ameshaanza kuimba ule wimbo wao wa kuibia...
Naomba kwa kuuliza maswali haya:
Hivi Mtanzani wa kawaida unaweza kuendesha biashara ambayo haina vibali vya serikali huku ukitumia mitandao ya simu kufanya biashara na serikali ikashindwa kukubaini/kukukamata?
Tuchukulie imeshindwa kukukukamata, je serikali itashindwa hata kutoa agizo kwa...
Maandalizi ya kampeni za mwakani yameisha kamilika upande wa Mama na kilichobakia ni kipenga kipulizwe tu.
Inadaiwa Pikipiki zaidi ya 18,000 ni zawadi kutoka UAE na pia kuna Helcopta moja na Magari 400.
Inadaiwa hawa ndio wanao miliki Loliondo na pia wanataka kupewa eneo la Poli la Longido ili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.