kampeni ya fichua

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Bodi ya Mikopo Elimu ya Juu (HESLB) yaja na 'Kampeni ya Fichua' kuwasaka wadaiwa sugu

    Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) leo (Ijumaa, Juni 28, 2024) imezindua Kampeni Maalumu inayolenga kuwashirikisha wananchi kwa kutumia simu na mitandao ya kijamii, kuwafichua wadaiwa sugu wa mikopo ya elimu ya juu. Kampeni hiyo, inayofahamika kama Fichua imezinduliwa jijini...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…