Wakuu,
Inaonekana Kamala Harris leo atafanya sherehe kwani muda mchache uliopita ametoa tamko mara baada ya kiongozi wa Hamas Yahaya Sinwar kuuwawa.
Katika tamko lake Kamala amesema kuwa dunia itakuwa ni sehemu nzuri zaidi ya kuishi mara baada ya Sinwar kuuwawa.
Nasubiri kuona kama Trump...
Wakuu,
Pengine kuna kitu ntakuwa sielewi kuhusu Marekani lakini inaonekana suala la bangi kuwa halali ni suala nyeti sana huko Marekani na hii ni baada ya Harris kusema kuwa atahalalisha matumizi ya bangi nchi nzima pindi akiwa Rais.
Hivi how is this a campaign issue? Na kwanini utake...
Wakuu,
Kuna hii clip ya Kamala Harris inatembea sana huko kwenye mtandao wa X na Republicans wanaishare kwenye akaunti zao.
Jana Harris alikuwa anafanya Town Hall. Town Hall ni kipindi cha maswali na majibu ambapo wananchi wanapata nafasi ya kumuuliza maswali mgombea au kiongozi wao maswali...