Wakuu,
Kiongozi wa Mabachelor Tanzania, Juma Jux nae rasmi ameingia ndoani.
Kataa ndoa mmepoteza moja ya makamanda wenu watiifu katika kambi yenu.
Hizi ni baadhi ya picha kutoka kwenye tukio la ndoa yao.
Team Kataa Ndoa Mpo?
Sidhani kama kuna haja ya kusalimiana. Kama kuna mtu ana lolote anaweza akasema linalomsibu kwenye nafasi niliyoiacha hapo juu.
Najua humu jukwaani kuna movement ya Kataa Ndoa. Itoshe kusema kuwa kutokana na research iliyofanywa nimefahamu kuwa watu wengi ambao ni team...
Huu upuuzi Kila siku naukataa,kama Pesa ya Mwanamke Hainihusu yupo hapo Kwa Ajili ya nini hasa?
Hicho kinachoitwa ndoa ni Cha maana gani ikiwa kinaleta unyonyaji Kwa Mwanamke? Si Bora niwe nahonga na kula mzigo Kwa kununua kuliko huu ujinga unatetewa hapa?
======
Mkuu wa Dawati la Jinsia na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.