Wakuu,
Hivi hii mikoa ya Njombe, Iringa na Mbeya kuna shida gani?
Mbona kila siku maambukizi yako huku tu?
Akiwa anazungumza hivi karibuni ambaye ni Naibu Waziri-Ofisi ya Waziri Mkuu-Sera Bunge na uratibu alisema:
"Bado kuna mikoa ina ushamiri mkubwa wa VVU kwa mfano Njombe, Iringa na Mbeya...
Wakuu,
Hivi si tuliambiwa kuwa ARV ziko za kutosha?
Na kwamba tusihofu Marekani kusitisha misaada kwa sababu serikali ina ARV zinazotosha? Sasa inakuaje tunapewa onyo kuwa maambukizi ya UKIMWI yataongezeka?
Au ndo yaleyale tuliambiwa Rais yuko fit alafu baada ya siku kadhaa tukatangaziwa...
Dodoma Jumamosi 15 Juni 2024
Waziri wa Afya Ummy Mwalimu leo amekutana na kufanyia mazungumzo na KIDO ambaye ni balozi wa kampeni ya Holela-Holela itakukosti. Kampeni ya Holela-Holela itakukosti inasisitiza mbinu kamilifu ya " Afya Moja" kushughulikia tatizo la UVIDA na magonjwa ya zuonotiki na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.