Wakuu,
Hivi hii mikoa ya Njombe, Iringa na Mbeya kuna shida gani?
Mbona kila siku maambukizi yako huku tu?
Akiwa anazungumza hivi karibuni ambaye ni Naibu Waziri-Ofisi ya Waziri Mkuu-Sera Bunge na uratibu alisema:
"Bado kuna mikoa ina ushamiri mkubwa wa VVU kwa mfano Njombe, Iringa na Mbeya...