Wakuu,
Hivi tukisema kwamba CCM wameanza kampeni kuelekea Uchaguzi mkuu nitakuwa nimekosea.
Naanza kuamini kuna watu ambao wanajifanyia tu vitu wakidhani wanamsaidia Rais lakini kumbe wanamharibia tu.
Sidhani kama Rais kutokana na majukumu mengi aliyokuwa nayo atakuwa na muda kupendekezo...