Kampeni za urais nchini marekani zimetumia kiasi Cha Dollar Bilioni 15.9 ambazo ni sawa na shilingi Trillioni 39.7 za kitanzania. Kwa maana nyingine ni kwamba pesa zilizotumika kwenye kampeni za urais ni nyingi kiasi Cha kukaribia Bajeti ya mwaka ya Tanzania. Kwakweli Marekani ipo mbali Sana...