kampuni binafsi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JanguKamaJangu

    Mchakato wa Sera ya Kampuni changa waanza, Waziri Silaa atoa rai kwa Wadau kushiriki kikamilifu

    Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Jerry William Silaa (Mb.) amesema kuwa serikali tayari imeanza mchakato wa kutunga sera ya kampuni changa (startups) na imeanza kushirikisha wadau ili kutoa maoni yao kuhusu mahitaji ya startups na mambo wanayotaka kuona yakikamilika. Waziri Silaa...
  2. Kingsmann

    Wonjun Choi awa Rais mpya wa Samsung

    Wonjun Choi, VP na Head wa Samsung Mobile Experience (MX) Division, amepandishwa cheo kuwa President wa MX Development Division. Samsung ilitangaza mabadiliko haya Machi 4, na Choi ataendelea kuongoza MX Division baada ya kupandishwa cheo. Kama President, Choi anatarajiwa kuleta mafanikio zaidi...
  3. L

    NANUNUA MICROFINANCE

    Kama unauza au unajua mtu anauza Microfinance yenye vibali vyote tafadhali wasiliana nasi kupitia 0765042935
  4. Dr. Wansegamila

    Namna nilivyopambana na Kampuni Binafsi ya Bima Ya Afya na kuwapiga Knock Out kwa msaada wa Ofisi ya Msuluhishi wa Migogoro ya Bima (TIO)

    Igweeee wananzengo, Leo napenda ku-share uzoefu wangu na moja ya kampuni binafsi za bima ya afya hapa Tanzania ambayo walikataa kabisa kulipia matibabu ya mke wangu, ikiwemo upasuaji, huku wakitoa sababu ambazo zipo kinyume kabisa na mkataba wangu kati yao. Pia, nilipojaribu kuwasiliana nao...
  5. Mwakawasila

    Usijizuie kuelewa hatifungani/bond za Serikali

    HATIFUNGANI/BOND/AMANA Ni aina ya dhamana inayotolewa na serikali au kampuni kwa lengo la kukopa fedha. Mkopaji anaweza kuwa serikali au kampuni na anaekopesha ni mwekezaji. Mwekezaji anaponunua hatifungani, anaikopesha serikali au kampuni fedha yake kwa kipindi flani cha makubaliano...
  6. Brojust

    Kampuni binafsi za kufanya protocols kwenye event kubwa za serikali; Je, ni utashi wa nani? Vetting yake inaangaliwa kwa jicho la tatu?

    Karibuni wadau! Naomba kuuliza kwa nia njema sana maana mimi pia nina uzoefu usajili wa makampuni, jina la biashara na taasisi mbali mbali. Nina kiu ya kujua machache tu juu ya makampuni binafsi ya kufanya protocol kwenye event za serikali na taasisi zake. Maswali yangu machache; 1. Je...
  7. Roving Journalist

    Kampuni binafsi ya kuzalisha umeme ya Madope kukabidhi miundombinu ya umeme kwa TANESCO

    Kampuni binafsi ya kuzalisha umeme ya Madope iliyopo Wilayani Ludewa mkoani Njombe, imefikia makubaliano na Serikali ya kukabidhi miundombinu ya kusafirisha na kusambaza umeme kwa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) mara baada ya kusainiwa kwa mkataba. Hayo yamebainishwa na Naibu Waziri...
  8. daydreamerTZ

    Je, unakwamishwa kuanza biashara yako leo?

    Karibu Day Dreamer Tz Consultancy, watatuzi wa changamoto zako kwenye: 1. Usajili wa Jina la Biashara Brela - Tunakusaidia kusajili jina la biashara lako kupitia BRELA (Business Registrations and Licensing Agency). Hii ni hatua muhimu ya kisheria inayokuwezesha kufanya biashara kwa jina...
  9. BigTall

    Upigaji, utapeli, uliojifichika kwenye kofia ya Kampuni Binafsi za Ulinzi

    Ni uchunguzi wa miezi zaidi ya mitatu kwa nyakati tofauti kwenye maeneo mbalimbali Jijini Dar es Salaam na mikoa jirani, ambapo safari yangu inakutana na Walinzi wa kampuni binafsi wakitoa kauli zenye kuashiria uwepo wa mazingira ya upigaji, utapeli na usanii. Nini kinabainika? Kwa siku za hivi...
  10. Azniv Protingas

    Ni hatua gani za kufuata ili kuishtaki kampuni binafsi ambayo imenitapeli

    Kama kichwa kinavyoelezea hapo juu, kuna kampuni moja binafsi imenitapeli kiasi cha pesa. Sasa naomba kujua nawezaje kufungua kesi na kuishtaki ili niweze kupata haki yangu. Pesa yenyewe ninayowadai ni kidogo (250,000) ndio maana nasita kwenda kushtaki kwa kuhofia kuwa kunaweza kuwa na gharama...
  11. A

    Kuna kelele Nyingi za Kuendesha Kwa Reli zetu na kampuni Binafsi sasa huko walianzia mambo si mambo tena

    Metro – End of the line for failing train firms Labour has pledged it will nationalise the railways should the party prevail at the next election, Metro reports. Shadow transport secretary Louise Haigh told the paper the “current model doesn’t work for anyone”. The plan would see a Great...
  12. Yoda

    Serikali shirikisheni kampuni binafsi za ukaguzi za "Big Four" kudhibiti ukwepaji kodi

    Mnachotakiwa kufanya ni kila mwaka kuwapa kandarasi mmojawapo Big four wa audit ambao ni KPMG, E&Y, PWC au Delloite wafanye ukaguzi wa nje "External Audit" kwa wafanyabiashara wakubwa 1000 na wa wakati 1000 ambao mahesabu yao ya kodi tayari yameshapitishwa na TRA. Hao wafanyabiashara wakubwa na...
  13. Dan Zwangendaba

    Kampuni za kuuza viwanja zinaumiza wananchi, Serikali iingilie kati

    Ni jambo la kushangaza unapopita mitandaoni kukutana na matangazo ya kampuni zinajinadi kuuza viwanja vya SQM 200, 300 nk, katika maeneo mbalimbali nje ya Jiji. Tena, mbaya zaidi wanaviuza kwa vipimo vya futi. Hivi kweli tunaruhusu viwanja vya SQM 200 miaka hii? Je, haya makampuni hayana...
  14. B

    Jinsi gani naweza andika wazo langu la kutengeneza application/system na nikapata ufadhili kutoka serikalini au kampuni binafsi

    Naom,ba kuuliza ni jinsi gani watu wanaandika mawazo yao na kufanikiwa kupata udhamini kutoka selikalini au makampuni binafsi na kufadhiliwa ili kuendeleza au kufanya yale m,awazo alioyawakilisha kwa mfano mimi naitaji kutafuta udhamini wa kutengeneza application au system ambayo inaweza kua...
  15. daydreamerTZ

    Njia bora za kupata jina sahihi la biashara yako

    Njia bora za kupata jina sahihi la biashara yako Kupata jina sahihi la biashara ni hatua muhimu katika kujenga kitambulisho chako cha biashara na kuwasiliana na wateja wako. Hapa kuna njia bora za kupata jina sahihi la biashara yako: 1. Jifunze kuhusu biashara yako: Anza kwa kuelewa vizuri...
  16. daydreamerTZ

    Fahamu kuhusu hisa za kampuni binafsi (shares of private company)

    HISA ZA KAMPUNI BINAFSI Hisa za kampuni binafsi ni hisa zinazomilikiwa na watu wachache ambao wamealikwa na kampuni kushiriki katika umiliki wake. Kampuni binafsi mara nyingi hazina nia ya kuorodheshwa kwenye soko la hisa na kuuza hisa zao kwa umma. Kwa kawaida, hisa za kampuni binafsi...
  17. Mgeni wa Jiji

    Fahamu mambo haya muhimu kisheria juu ya umiliki na uendeshaji wa kampuni binafsi Tanzania

    Habari wana JF Leo naomba nigusie maswala machache yanayohusu sheria na utendaji wa makampuni binafsi. Naamini umewahi kusikia juu ya wito wa kurasimisha biashara na makampuni. Wapo viongozi wa kiserikali na hata binafsi wamekuwa wakihamasisha wafanyabiashara kurasimisha mifumo yao ya biashara...
Back
Top Bottom