Hawa ni Watanzania wanaidai Kampuni ya Insurance Group of Tanzania, wiki iliyopita walitumia siku tatu kushinda na kulala katika ofisi za kampuni hiyo kutaka kulipwa madai yao wanayodai ofisi hiyo iliyopo maeneo ya Kawe karibu na makao makuu ya SUMA JKT.
Kampuni hiyo imekuwa na viongozi wenye...
Anonymous
Thread
bimabima igt
kampuniyabima
malipo ya wafanyakazi
mgogoro bima igt
Kamishna wa Uendelezaji Sekta ya Fedha Wizara ya Fedha, Dkt. Charles Mwamaja (katikati) akifurahia uzinduzi rasmi wa kampuni tanzu ya Benki ya CRDB inayotoa huduma za bima ‘CRDB Insurance Company (CIC) Ltd’ katika hafla iliyofanyika hoteli ya Johari Rotana jijini Dar es Salaam 18 Juni 2024...
UTANGULIZI
Tumekuwa tukishuhudia ajali nyingi nchini Tanzania zinazokea mara kwa mara ambapo kupitia ajali hizo wapendwa wetu huweza kupoteza maisha, wengine huweza kupata vilema vya kudumu. Jambo la kusikitisha wengi wetu hatuna elimu au uelewa wa kisheria kuhusu hatua zipi zichukuliwe na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.