Kwa Tanzania huyu mmiliki wa mabus ya Shafineyz ndiye mmiliki mdogo zaidi wa mabus kwa Tanzania au kama nitakuwa nimekosea mtanirekebisha.
Ila tusiwe tu wachoyo wa pongezi inabidi tumpongeze sana kijana mwezetu kwa kupiga hatua kubwa ya kimaendeleo kwa kumiliki kampuni ya mabus maana kumiliki...
Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA), kwa kushirikiana na Jeshi la polisi kikosi cha Usalama Barabarani imefanya kikao na wasafirishaji wa mabasi ya Mkoani ili kuwakumbusha kuzingatia Sheria na Kanuni za Usalama Barabarani.
Aidha, LATRA imesitisha Leseni ya kusafirisha abiria kwa kampuni...
Kila siku kampuni hii, inazalisha vifo na walemavu. Nitashangaa kama LATRA. haitawatendea haki Watanganyika.
Suala la usalama na usimamizi wa kampuni hii ya mabasi limekuwa ni tatizo kubwa kwa muda mrefu. Ni zuri kwamba serikali imekuwa ikiangalia hali hii, lakini inaonekana kwamba bado hakuna...
Tumepokea taarifa ya ajali ya gari ndogo ambapo mmiliki wa Mabasi ya kampuni ya Sauli Luxury Solomoni Mwalabhila amefariki dunia kwenye ajali hiyo. Tunatoa pole sana kwa Kampuni ya Sauli Luxury.
Ajari ya barabarani imeondoka na roho ya mmiliki wa mabasi ya Sauli Luxury siyo mbali sana na...
Leo tar. 05 July 2024
Katika hali isiyo ya kawaida nikiwa eneo la tukio (nilimsindikiza ndugu yangu ambae nae ni muhanga wa hii habari) abiria waliotakiwa kusafiri na gari kampuni ya ALLY'S STAR T644 kutokea DAR ES SALAAM (Urafiki) kuelekea MWANZA walikumbwa na sintofahamu baada ya...
Tunaomba mamlaka ya usafiri LATRA iifunge kampuni ya mabasi ya BM yandayo Dar -Kilimanjaro/Arusha kutokana na udangajifu kwenye nauli.
Wanafunzi wa shule ya anwarite ambao walikuwa wanatakiwa kusafiri leo kwa mabasi aina ya luxury wametapeliwa kwa kulazimishwa kusafiri kwa kutumia mabasi ya...
Kamati ya Ulinzi na Usalama ya wilaya ya Moshi imewakamata wafanyakazi wa kampuni tajwa hapo juu baada ya kujificha maliwatoni na kuwatelekeza abiria pasipo kuwatafutia usafiri mbadala baada ya kampuni yao kufungiwa na LATRA.
Chanzo gazeti la Mwananchi.
Kampuni ya Mabasi ya Abood Bus Service Limited imezindua mabasi ya VIP yanayofanya safari zake Dar- Mwanza-Dar, kuanzia tarehe 9 Juni 2023.
Hizi basi ni za kisasa na yenye viwango vya juu ikiwemo siti za luxury, air condition, tv, choo cha abiria, wahudumu wa kike, vinywaji na vitafunio.
Route...
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dkt. Stergomena Tax (Mb) akibofya batani ili kucheza Filamu ya The Royal Tour kwenye Basi la abiria la Kampuni ya Classic ikiwa ni ishara ya uzinduzi wa kampuni hiyo kuonesha filamu hiyo kwa abiria wanaotumia mabasi yake.
Waziri wa...
Kwa route ya Mbeya - Dar ni hakika Sauli hana mpinzani mpaka sasa.. Nadhani hii ni kwa sababu ya kuwahi kufika...
WAtu wa Mbeya huwaambii kitu na Sauli yao.
Soma hapa
Leo Nmelazimika kuahirisha safari baada ya kuachwa na bus lao. Safari ya Dar - Mbeya.
Ilikuwa hivi.. Saa kumi na moja kamili...
Kampuni ya Mabasi ya BM Coach inaendeshwa kihuni. Yafuatayo yanafanywa na vibarua/manamba wa kampuni hii:
1. Kutoka Moro gari likifika Magufuli abiria wanafaulishwa kwenye magari kama (bila hata gari kuharibika) mkaa kwenda Shekilango.
2. Katika zoezi la namba 1 hapo juu, baadhi ya abiria...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.