Hii biashara nimegundua inaendana na mm!!
Nipeni tips naanzia wap
Taarifa kama
Faida na hasara
Kodi yake serikalini
Changamoto
Process za usajili nk
yaan A to Z
Wakuu habari za muda huu ,hope mko poa walio wagonjwa ,wenye huzuni Mwenyezi Mungu awasaidie
Hivi karibuni nilipata kazi katika kampuni inayojishughulisha na mikopo mkoa (X) as a guest kwenye hii kazi na mshahara ni 200k per month n+ plus posho kwa mwajiriwa miezi 3 ya mwanzo
Lakini...
Utu ni jambo muhimu sana kwenye huu uumbaji wa Mwenyezi Mungu
Kampuni ya mikopo midogomidogo ya OYA si kampuni rafiki na yenye UTU kwa wakopaji wake. Pamoja na kuwa na vibali halali vya kuendesha hiyo biashara lakini matendo ya wafanyakazi wake kwa wakopaji wanaoshindwa kurejesha kwa wakati...
Nimepitia udhalilishaji wa kimtandao naomba kupata utaratibu nifanyeje tafadhali.
Wamenidhalilisha vibaya mno wameniundia mpaka group, wameadd ndugu zangu na marafiki wakidai ni tapeli nimekaidi kulipa mkopo wao na matusi juu.
Kampuni inaitwa Credit Land
Kampuni ya kutoa Mikopo kwa Njia ya Mtandao ya #WhitePathLTD, imepigwa faini ya Ksh. 495,614 sawa Tsh. Milioni 8.6 kwa madai ya kuingilia na kutumia taarifa binafsi za wateja kufuatilia wadeni wake.
Ofisi ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi ilisema ilipokea takriban malalamiko 150 dhidi ya kampuni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.