Wafanyakazi wanne wa taasisi ya mikopo ya OYA wamefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Kibaha kwa tuhuma za mauaji ya kukusudia ya Juma Said Seif (45), mkaazi wa Kitongoji cha Mbagala Mlandizi Mkoani Pwani yaliyofanyika Oktoba 7. 2024.
Wakili wa Serikali, Monica Mwela amewataja watuhumiwa hao...
Taarifa iliyotolewa na Jeshi la Polisi, Mkoa wa Pwani, siku ya Jumanne, tarehe 8 mwezi huu, kuwa wafanyakazi 4 wa kampuni ya OYA, walimuua Juma Said Mfaume, wakidai kuwa mkewe huyo Juma Mfaume, anayeitwa Khadija Ramadhan, alikopa pesa toka Kwenye kampuni hiyo ya OYA na akawa harejeshi marejesho...
TAMKO LA OYA KUHUSU TUKIO LA MLANDIZI
OYA Microfinance imehuzunishwa sana na ripoti za tukio la kusikitisha lililotokea Mlandizi, Kibaha, linalodaiwa kuhusisha wafanyakazi wanne wa kampuni yetu, ambalo limesababisha kupoteza maisha. Tunatoa rambirambi zetu za dhati kwa familia iliyoathirika na...
Mwenyekiti wa Kitongoji cha Kaloleni kilichopo Kata ya Janga, Ahmed Kilindo amesema kampuni ya OYA Microcredit imetoa mchango wa shilingi milioni moja (Tsh.1,000,000/=) kwa familia ya Juma Said Mfaume ambaye alifariki baada ya kupigwa na wafanyakazi wa kampuni hiyo walioenda kudai sehemu ya...
Huyu ndiye marehemu Juma Jangalu, aliyekuwa mfanyabiashara wa korosho kwa kutembeza mtaani, na pia alimiliki duka hilo hapo pichani.
Huyu ndiye aliyeuawa na wakusanya madeni wa kampuni ya mikopo ya OYA huko Mlandizi.
Juma hakuwa amewakopa OYA bali ni mkewe ndiye aliyekopa OYA tena bila...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.