Taarifa iliyotolewa na Jeshi la Polisi, Mkoa wa Pwani, siku ya Jumanne, tarehe 8 mwezi huu, kuwa wafanyakazi 4 wa kampuni ya OYA, walimuua Juma Said Mfaume, wakidai kuwa mkewe huyo Juma Mfaume, anayeitwa Khadija Ramadhan, alikopa pesa toka Kwenye kampuni hiyo ya OYA na akawa harejeshi marejesho...