Wonjun Choi, VP na Head wa Samsung Mobile Experience (MX) Division, amepandishwa cheo kuwa President wa MX Development Division. Samsung ilitangaza mabadiliko haya Machi 4, na Choi ataendelea kuongoza MX Division baada ya kupandishwa cheo.
Kama President, Choi anatarajiwa kuleta mafanikio zaidi...