Kampuni ya ortello walipewa eneo la uwindaji loliondo mara ilipoingia awamu ya pili ya mzee ruksa.
Baada ya kupewa eneo hilo kampuni hiyo ya UAE yenye wamiliki toka familia ya kifalme tabia yao ikawa kama wamepata koloni.
Pamoja na kwamba wameweza kuepa kutajwa na vyombo vya habari kama zamani...
Huko Ngorongoro kuna wawekezaji wa kitalu cha uwindaji wa miaka mingi wanaitwa Ortello. Hii kampuni inahusisha vigogo wa kifalme wa falme za kiarabu. Inasemekana kigogo fulani wa ccm na serikalini wana maslahi na wamekua wanaibeba kampuni hiyo. Kila mwaka kunakuaga na kutangazisha vitalu ila...
Waziri wa Maliasili asili na utalii Mh. Kigwangala akiwa katika ziara yake wilayani Ngorongoro pamoja na kuagiza kuvifuta vibali vyote vya uwindaji nchi nzima ikiwamo vya kampuni ya ORTELLO BUSINESS CORPORATION (OBC) ya Loliondo, ameagiza kampuni hiyo ya MWARABU kujiandaa kurudi walikotokea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.