kampuni za mawasiliano

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    Starlink wamekuja mara mbili kuomba kutuletea huduma ya internet lakini wanazungushwa, kuna ugali wa mtu unaguswa?

    Ni huduma yenye uwezo wa kuponya ukosefu wa internet vijijini, maporini, milimani, ziwani, n.k. ukizingatia kwamba makampuni ya mitandao ya simu yameshindwa kufikisha huduma katika maeneo ya mbali. Kwa mara ya kwanza walikuja Tanzania bila mafanikio, waziri wa kipindi hicho Nape Nnauye alitoa...
  2. Crocodiletooth

    Kwa tozo hizi, kampuni za mawasiliano ni tajiri sana. Zitathiminiwe upya kikodi

    ××××××× Imethibitishwa Tarehe ××\××\×××× Saa 30:95 umetoa kiasi cha shs 5,000 kutoka kwa ×××××× Pepo mchafu toka, Ada Tshs 950.00 + TOZO ya serekali Tshs 54.00. Lengo la uzi wangu ni kwanini serekali inachukuwa kiwango kidogo namna hii ya tozo? Aidha kwanini kampuni za simu zinatoza kiasi...
  3. Damaso

    Vita ya Starlink na Safaricom ni somo kwa kampuni za mawasiliano Tanzania

    Aliyekuwa waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye aliwahi kusema kwa mujibu wa tafiti zilizofanywa na taasisi za kimataifa, Tanzania inashika nafasi ya sita kwa Bara la Afrika kwa kuwa na gharama za chini za bando “vifurushi” huku ikishika nafasi ya 50 Duniani kwa...
  4. Mfikirishi

    Faragha yako inalindwaje?

    Tafadhali someni hapa chini: Privacy Policies za makampuni mbali mbali ambayo wanachakata na kutunza taarifa binafsi za wateja (personal data). Sina upande wa ipi ni nzuri ipi ni mbaya. But be in the know! Information is Power! Ukisoma kwa undani utagundua madalali wa faragha zako. Chukua...
  5. OKW BOBAN SUNZU

    Kampuni za simu zaiangukia Serikali tozo ya miamala. TPSF yataka benki zisiachwe

    Kampuni zinalalamika maana yake serikali haikushirikisha wadau muhimu Wananchi wanalalamika maana yake wabunge waliagizwa na nani kufanya yale My Take Rais ajiuzulu
  6. Ncha Kali

    Hizi pesa kwenye akaunti zetu za simu, mtoa huduma anaweza kuzitumia?

    Salamu wakuu! Ni huyu mwanangu mkubwa leo kaniuliza swali hilo, ngoja niliweke vizuri ili tuweze kujadili. Ni hizi akaunti zetu za M-Pesa, TigoPesa, Airtel-Money, HaloPesa, T-Pesa itifaki imezingatiwa.[emoji28] Tunaweka kuhifadhi na kutuma kwenda kwa watu wengine, au kulipia huduma...
Back
Top Bottom