Katika kipindi ambacho teknolojia inaendelea kukua kumekuwepo na ongezeko la michezo mingi ya upatu hasa kupitia mitandao (digital platforms), katika michezo hiyo kumekuwepo na ugumu wa kutambua ni kampuni zipi zenye usajili halali jambo ambalo limekuwa gumu kuwaondoa watu wengi kwenye mtego wa...