Kulikuwa na bifu lililotikisa miaka ya mwanzoni ya 2000 kati ya TMK na east coast, kipindi hiko watoto wengi wa 2000 ndo walikuwa wakitungwa so hawajui lolote.
Gk kupitia truck yake kali ya hii Leo alitoa diss nyingi huku, akidai pesa wanayo, wanavaa vizuri, hapa hipo, wanaendesha magari...