Nimuombe rais Samia kabla hajatoka mkoa wa Songwe, aitangaze mbozi kuwa kanda maalum.
Ndiyo najua mtashangaa, ila kwa matukio ya Mbozi inahitaji jicho la karibu la kiusalama. Vinginevyo mauaji yatakithiri kama tupo ukanda wa Gaza.
Hii itasaidia pia kuhudumia hadi Tunduma.
Wakazi wa Mbozi...
Hali ya usalama wa raia mkoa wa Geita ni mbaya.
Kuna ajali za kutisha, mauaji ya Raia, albino, wizi, wahamiaji haramu.
Pia vyombo vya habari mkoani Geita vimeshindwa hata kuriporti matukio, kwani matukio ni mengi mno.
RPC mkoani Geita, kazi imemshinda na ninashauri iundwe Kanda Maalum.
Hali...
MBUNGE EDWARD LEKAITA AKICHANGIA MSWADA WA MABADILIKO YA SHERIA YA KANDA MAALUM YA UWEKEZAJI (MAUZO YA NJE) NA UCHUMI
Mhe. Edward Ole Lekaita akichangia Bungeni jijini Dodoma katika Mswada wa Mabadiriko ya Sheria ya Kanda Maalum ya Uwekezaji na Mauzo Nje ya Nchi na Mswada wa Mabadiliko ya...
Binadamu husahau mapema sana. Nimekisikiliza kilio cha Msomi Kitwanga na nikagundua ni kinyongo halisi kinachokuwa katika maongezi ya kundi zima lililokuwa nyuma ya hayati JPM miaka ile akiwa ikulu.
Na maisha yanakwenda kasi sana. Wahenga tunaoazima mara nyingi busara zao wanayo misemo...
Baada ya kuona habari ya vijana waliomuua mama yao jana kisha na wao kuuawa huko Geita
Naona mkoa huu ndio unaoongoza kwa mauaji nchini
Mikoa ya kanda ya ziwa imekua kinara wa mauaji nchini yanayosababishwa na ushirikina, tamaa za mali, wivu wa mapenzi na mengineyo nadhani sasa Serikali...
Kwanza niseme tu, sijaribu kukosoa kazi ya uumbaji wala kuzodoa watu kwa jinsi walivyoumbwa, maana hakuna mtu aliyechagua mwili wake na kutia saini kabla ya kuzaliwa, bali najaribu kuona jinsi tunavyoweza kufanya ‘mitigation measure’ / (Damage control).
KAtika mradi huu, Ziainishwe kanda na...
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linawashikilia watu sita kwa tuhuma za kuwashambulia na kuwarekodi video za utupu watu wawili wanaodaiwa kufumaniwa na kusambaza kwenye mitandao ya kijamii.
Kamanda wa Polisi wa Kanda hiyo, Jumanne Muliro amewataja watuhumiwa hao kuwa ni Singiba...
Inasomeka huko Mbezi eneo la Msakuzi. Mtu mmoja ambaye jina lake ambalo bado halijafahamika, kabila ni Mchaga amekutwa kajinyonga akiwa nyumbani kwake eneo la Mbezi Msakuzi.
Moja ya mashuhuda akiwemo mke wake anayejulikana kwa jina Awaich Nyela amethibitisha.
Taarifa za awali inasadikika kuwa...
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limesema mtu yeyote atakayetoa taarifa zitakazosaidia kukamatwa mtuhumiwa wa ujambazi akiwa na silaha atazawadiwa Sh2 milioni.
Hayo yameelezwa leo Jumatano Juni 23, 2021 na Kamanda wa Polisi wa Kanda hiyo, Jumanne Muliro katika mkutano wake na...
Mh Rais kwa asili ya watu wa haya maeneo fujo, ubabe na kulindana pia hizi wilaya kuna baadhi ya wakulima wa bangi ,watumiaji na wasafirishaji na wizi wa mifugo, uvamizi na unyang'anyi wa kutumia silaha na ikizangatia haya mambo yanahusisha na nchi jirani (mpakani)
Naomba ubadilishe mkuu wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.