Wakulima wa mahindi Kanda ya Kaskazini ambapo ni pamoja na Kilimanjaro, Arusha, na Kilindi katika mkoa wa Tanga, wapo hatarini kupata hasara katika kilimo cha mahindi kutokana na kile wanachodai mvua kukatika mapema.
Wakulima hao wengi hawajui cha Kufanya hadi sasa kutokana na kuwa waliwekeza...