Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Nyasa kimewahimiza wananchi kujitokeza kujiandikisha kwenye daftari la mkazi ili waweze kushiriki katika uchaguzi wa Serikali za mitaa unaotarajiwa kufanyika baadaye mwaka huu.
Kauli hiyo imetolewa na Katibu wa CHADEMA Kanda ya Nyasa, Bi...
Mm binafsi sipendezwi na huyu peter msigwa,hasa baada ya kuhama chama,swala la kuhama chama ni haki yake, siwezi kukataa ila tatizo linakuja swala la kuanza kutoa siri za chama, Wala halipendezi, alitoa sababu za kuhama chama kwamba hakimkutendea haki, ilikuwa imetosha.
Angejikita kwenye hoja...
Hii ndio Taarifa mpya kutoka kwenye kikosi kazi cha Uongozi mpya wa Kanda ya Nyasa, baada ya muendelezo wa Tathmini ya muda mrefu ya Chama hicho.
Chadema imesambaza kikosi kazi cha kuchambua mambo haya kupitia Chadema Digital kwa muda mrefu, Hii ndio sababu ya Freeman Mbowe kutangaza Chadema...
Lissu alienda Iringa akimtetea Msigwa kwa nguvu zote hata kumdhalilisha Mh. Mbowe, je Lissu ataanza kuheshimu beacons za siasa za upinzani, hasa Mbowe zinapotoa msimamo?
Je Lissu bado hajajua huyo anayemuita "Abdul" alikuwa anawasiliana na nani (kama ni kweli, maana Lissu kwa uongo)? Je alienda...
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba viongozi wapya waliochaguliwa hivi karibuni Kanda ya Nyasa, Wameanza Kazi Rasmi leo.
Wamefika kwenye ofisi za Kanda ya Nyasa na kuanza kazi mara moja, Vigogo hao wazito wameongozwa na Mwenyekiti wao Joseph Mbilinyi, yumo pia Makamu Mwenyekiti Frank...
https://www.youtube.com/live/-6K3ZpUpoB8
Akiongea na Waandishi wa Habari leo, Peter Msigwa amesema kwamba Ushindi wa Sugu ulijaa makando kando na Mchezo Mchafu (Hakufafanua)
Ametangaza kukata rufaa kwenye Kamati Kuu ya Chama chake kupinga ushindi huo wa Sugu, bado haijajulikana kama Kamati Kuu...
Wananiita Sugu!!! Nani!!
Mbombo ngafu. Bilionea Joseph Mbilinyi aibuka kidedea. Mbowe ni fupa la mzimu, jitihada za Lissu kuunda kundi la kumuengua Mbowe uenyekiti chadema zimegonga mwamba. Kule Pambalu kasambaratishwa vipande vipande na Hezekiah Wenje, kamanda mtiifu wa Mbowe, huku Sugu...
Maandalizi yote ya Uchaguzi wa Chadema Kanda ya Nyasa yale ya ndani ya Ukumbi, Nje ya Ukumbi, pamoja na mazingira yote kabisa yamekamilika.
Wajumbe wote kwa wingi wa 100% wamewasili na kwa uhakika wako tayari kabisa, na kwa kweli tunawatakia kila la heri
Ujumbe wetu kwa wahusika wote ni huu...
17 April 2024
Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Nyasa mchungaji Peter Msigwa abainisha kuwa hakuna mpango wa kugombea uongozi ngazi ya taifa....
Mch. Msigwa asisitiza viongozi wa CHADEMA Taifa wasichafuliwe kuwa wana wagombea wa kanda na mikoa mfukoni, bali wagombea ngazi za kanda na mkoa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.