Hivi karibuni, kumekuwa na ongezeko la wadau wa mchezo wa mpira wa miguu ambao wanafanya kazi ya kutathmini na kuchambua michezo mbali mbali hapa nchini, hasa mchezo wa soka (gozi la ng’ombe, kandanda au bolu). Ongezeko hili la wadau hawa ambao wanajitambulisha na kutambulika kama wachambuzi ni...