Miili hiyo inayoaminika kuwa ni ya Wahamiaji wenye umri kati ya miaka 20 hadi 38 kutoka Ethiopia imekutwa kando ya barabara ya Ngwerere, Kaskazini mwa Mji Mkuu wa Lusaka.
Inaaminika walifariki Dunia kwa kukosa hewa wakiwa njiani kusafirishwa. Zambia imekuwa ikitumika kama njia panda ya...
Jeshi la Polisi wilayani Kiteto mkoani Manyara, limefukua mwili wa mtu mmoja ambaye hajafahamika ukiwa umeharibika vibaya huku ukiwa umezungushiwa mfuko aina ya salfeti na kufukiwa chini katika kijiji cha Mbigili, Kata ya Partimbo.
Tukio la kufukua mwili huo limefanyika hii leo Oktoba 12, 2022...
Kontena la ft 20 linapangishwa....lipo kando ya barabara ya lami( inaangaliana na barabara) mabibo Makutano.
Kodi 90000 kwa mwezi.
Linafaa kwa matumizi ya biashara mbalimbali mf duka, stationery,mgahawa n.k
Mazungumzo yapo. Hakuna dalali mmiliki ni mimi mwenyewe.
0685510781
Sisemi vibaya! Ila hawa ndugu zetu ni wababe sana kwa watembea kwa miguu! Majuzi juzi tu natoka Msimbazi napita kando ya barabara nakumbuka kulikuwa na mdada anauza korosho na karanga, kwa mbele kidogo kulikuwa na mauzo ya kapeti ya mnada!
Kumbe lile kapeti kwa mbele bwana kuna jamaa anauza...
Gari la tangazo linapita kutangaza ya kuwa ifikapo tarehe 18 mwezi huu hakitakiwi kibanda chochote kuonekana kando kando ya barabara katika jiji la Dar es Salaam.
--- UPDATE MAY 11, 2021--
Mkurugenzi wa Jiji la Dar es Salaam, Jumanne Shauri amewataka wafanyabiashara waliojenga vibanda katikati...
Labda itakua vigumu kueleweka lakini nimeonelea ni bora nikatoa ushauri kwa manispaa na halmashauri zetu kuwaondoa mama lishe, Wamachinga na vibanda vya kuuza kadi na kusajili simu vilivyoko mabarabarani. Sababu kuu ni kuwa utakuta wanauza chakula, matunda n.k kwenye vumbi na zinaponyesha mvua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.