Kutoka kwenye mchoro hapa chini
Kwanini huyo jamaa anaonekana kutumia nguvu nyingi kwenye "a" kuliko "b" na "c"
Kwanini kwenye "b" anatumia nguvu kidogo kuliko "a" wakati kuna hizo disc mbili zimeongezeka?
Kwanini kwenye "c" anaonekana kutumia nguvu kidogo kuliko "a" na "b" wakati disk ni...