kanisa la anglikana

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    Gavana Kenneth Lusaka akabidhi KSh Milioni 5 (TSh Milioni 102) zilizotolewa na Rais Ruto kwa Kanisa la Anglikana la ACK St. Crispinus Bungoma

    Gavana Kenneth Lusaka akabidhi KSh Milioni 5 (TSh Milioni 102) zilizotolewa na Rais Ruto kwa Kanisa la Anglikana la ACK St. Crispinus Bungoma, wiki kadhaa baada ya Maaskofu wa Katoliki wakataa mchango wa Shilingi milioni 5.6 kutoka kwa Ruto kwa kanisa la Soweto Soma, Pia: Maaskofu wa Katoliki...
  2. Inside10

    Kanisa jipya la Anglikana laanzishwa Tanzania, Kuzinduliwa Septemba 15

    Kanisa jipya la Anglikana lijulikanalo kama Episcopal Anglican Province Tanzania linatarajiwa kuzinduliwa Septemba 15 jijini Wilaya ya Kongwa jijini Dodoma. Kuzinduliwa kwa kanisa hilo kunatajwa kuwapa chaguo waumini wote wa Anglikana kuamua waabudu kanisa lipi kati ya hili jipya na lililopo...
  3. sky soldier

    Kanisa la Anglikana linaruhusu ndoa za jinsia moja, Inakuwaje kuna watanzania wenzetu bado wanaendelea kwenda ?

    Ni tangu mwezi February mwaka huu kanisa la Anglikana lilipiga kura kufungisha na kuzibariki ndoa za jinsia moja. Nilitegemea kufikia mwezi huu makanisa ya Anglikana hapa Tanzania yawe matupu kwa sababu sisi watanzania tunayapinga mahusiano ya mwanaume kumruhusu mwanaume mwenzake kumuingiza...
  4. Pdidy

    Hongereni sana Kanisa la Anglikana kwa kufungua kitegauchumi cha Safina House

    Leo nimefurahishwa sana na kanisa letu la Anglikana. Nilikuwa sehemu Dodoma nakula nikaona Channel Ten jengo zuri sana Rais Samia Suluhu akilifungua jengo hili. Baada ya kudododsaa nikajua ni jengo la kanisa la Anglikana kama kitega uchumi, lina mandhari nzuri sana kuanzia ndani mpaka nje...
  5. Roving Journalist

    Rais Samia akifungua Jengo la Kitega Uchumi la Kanisa la Anglikana - Central Tanganyika Dodoma

    https://www.youtube.com/watch?v=Fzph9HC7EzU Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akifungua Jengo la Kitega Uchumi lenye Ukumbi wa Huduma za Jamii la Kanisa la Anglikana- Central Tanganyika Dodoma tarehe 15 Agosti, 2023 jijini Dodoma. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...
  6. USSR

    Kanisa la Anglikana linatazamiwa kutumia lugha isiyo ya kijinsia kutamka Mungu

    Sonodi kuu ambayo ndio kamati ya juu kabisa ya kanisa hilo duniani inamalizia mchakato wa kutohusisha Mungu na njisia yoyote ili kuleta usawa wa kijinsia, kamati hiyo inamaanisha kuwa kutumia neno la kumaanisha Mungu ni wa kiume pekee haileti ulinganifu Hivi karibuni kanisa hilo lilitangaza...
Back
Top Bottom