kante

Kanté is a surname. Notable people with the surname include:

Cédric Kanté (born 1979), Malian-French football defender
Daouda Kanté (born 1978), Malian football defender
Koly Kanté (born 1982), Malian football defender
José Kanté Martínez (born 1990), Spanish footballer
Lamine Kanté (born 1987), French basketball player
Mohamed T. Kanté (born 1985), Malian-American technologist and social entrepreneur
Mory Kanté (born 1997), Guinean footballer
Mory Kanté (1950-2020), Guinean-Malian musician
N'Golo Kanté (born 1991), French footballer
Seydou Badjan Kanté (born 1981), Ivorian football defender
Soumaoro Kanté (13th century), king of the Sosso people
Youssouf Kanté (born 1984), French footballer

View More On Wikipedia.org
  1. mdukuzi

    Ngolo Kante hatarini kufirisika,ameoa shangazi wa kizungu mwenye miaka 47

    Waafrica wote akili zetu zinafanana, Ustaadhi Ngolo Kante amevamia mtumbwi wa vibwengo kwa kuoa lishangaji Jude Littler lenye watoto watatu na umri wa miaka 47. Historia ya shangazi huyo huko nyuma sio nzuri Djibril Cisse aliwahi kuwa nae huko nyuma aliambulia kupigwana kitu kizito. Pesa zote...
  2. JanguKamaJangu

    N'Golo Kante kukosa Michuano ya Kombe la Dunia 2022 baada ya kufanyiwa upasuaji

    Kiungo huyo wa Chelsea na Ufaransa amefanyiwa upasuaji kutoka na majeraha ya nyama za paja ambayo yatamuweka nje ya uwanja kwa muda wa miezi minne. Kante, 31, alipata majeraha hayo wakati katika mechi ya sare 2-2 dhidi ya Tottenham, Agosti 14, 2022 na tangu hapo hajawa fiti kurejea uwanjani...
  3. M

    Uchambuzi: Kante mechi ya Ufaransa vs Ujerumani

    Mzuka wanajamvi! Tahadhari kama hujui kiingereza vizuri kabisa usiendelee chini kusoma. Nimeamua kutumia taaluma yangu kwenye huu Uchambuzi. Omnipresent N'Golo Kante delivers Munich masterclass In 26 days’ time, N’Golo Kante could hold every major honour in the club and inhternational game...
  4. H

    Ngolo Kante: Mimi ni binadamu kama binadamu wengine Sina uspecial wowote msinikuze

    Ngolo Kante ameamua kuwajibu watu baada ya kuwa wakisema yeye ni humble kuliko watu wote namnukuu "Ni kweli kuna muda mwingine huwa kuna hii picha kwamba mimi ni mtu wa pekee sana na mtu mzuri sana" "Lakini mwisho wa siku mimi ni mtu wa kawaida.Mchezaji ambaye nipo na wachezaji wengine.Hakuna...
  5. The Boss

    Ngolo Kante anastahili tuzo ya Ballon d'or kwa Mwaka 2021

    Unaonaje anastahili au la? Binafsi naona anastahili lakini hatapewa.
Back
Top Bottom