kanuni inasemaje?

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Suley2019

    Polisi wana wajibu wa kulinda Usalama wa Raia na Mali zao. Hili suala la Wananchi kuwalipa Sungusungu kuwalinda lipoje kikanuni?

    Habari Wakuu, Kumekuwa na taratibu ya mitaa mbalimbali hasa uswahilini viongozi wanaweka utaratibu wa kuweka Sungusungu kwa ajili ya kuimarisha ulinzi kwa utaratibu wa kila nyumba kuchagia kuwalipa mwisho wa mwezi. Kukiwa kama nyumba ina wapangaji kadhaabasi kila mpangaji atapaswa kuchangia...
Back
Top Bottom