Nimefurahishwa na hatua ya Rais ya kuunda Tume ya Kutathmini na kushauri kuhusu masuala ya kodi,yaani" Presidential Commission on Tax Reforms" nchini. Ninayo maoni na ushauri wa jumla kama ifuatavyo:
1. Jamii Forums itumike kuratibu maoni na ushauri mbalimbali unaotolewa na wana JF kuhusu...