Chaos wazee na vijana leo nimekuja na
KANUNI UNAZOTAKIWA KUZINGATIA KUHUSU FEDHA
KANUNI NO. 1
Kamwe usikope fedha na hasa ya riba kwa ajili ya kuanzishia biashara (isipokuwa kwa mkopo ambao marejesho yake yanatokana na mshahara. Hii ni kwa sababu biashara huchukuwa muda mrefu kusimama yenyewe...