Mkurugenzi Mtendaji wa JamiiForums, Maxence Melo akiwa kwenye kipindi cha Good Morning cha Wasafi FM ameeleza kuwa Kanuni ya Sheria ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi - "Kanuni Za Taratibu Za Kushughulikia Malalamiko ya Ukiukwaji Wa Misingi ya Ulinzi Wa Taarifa Binafsi" zimeeleza namna ambavyo watu...
Katiba, sheria na kanuni zinapaswa kuitikiana. Na hasa sheria na kanuni kuakisi na kufanikisha nia njema ya kifungu cha katiba. Inakuaje kanuni kutungwa na waziri au watu wachache wanaoweza kujipendelea?
Na tena yapasa bunge ndilo limalizane na sheria na kanuni zake sio Serikali! Kwani bunge ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.