kanuni za uchaguzi serikali za mitaa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Pre GE2025 CHADEMA mtaenda kwenye uchaguzi Tena ili mje kulalamikia Tume?

    1. Nitashangaa kama CHADEMA watashiriki tena uchaguzi ili waje kulalamikia tena Tume na Wasimamizi wa uchaguzi (Wakurugenzi wa Halmashauri). 2. Hivi hamna strategy ya kufanya mchakato wa Katiba Mpya uendelee ili uchaguzi uwe huru? Chama cha upinzani mmepoa kama SACCOS. Pia soma: Je, CHADEMA...
  2. Rasimu ya Kanuni za Uchaguzi wa Mwenyekiti wa Mtaa na Wajumbe wa Kamati ya Mtaa Katika Mamlaka za Miji za Mwaka 2024

    Kanuni hizi zitajulikana kama Kanuni za Uchaguzi wa Mwenyekiti wa Mtaa na Wajumbe wa Kamati ya Mtaa katika Mamlaka za Miji za Mwaka 2024. Pia soma: Je, umeziona na kuzisoma kanuni mpya za uchaguzi wa serikali za mitaa? Kanuni hizi zitatumika katika Mitaa yote iliyomo katika maeneo ya Mamlaka...
  3. R

    Pre GE2025 Je, umeziona na kuzisoma Kanuni mpya za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa?

    Nimejiuuliza zilipo kanuni za kusimamia uchaguzi wa serikali za mtaa. Nimezisaka mitandaoni na kwenye gazeti la serikali zijaziona. Lakini Mzee Lipumba na Mwenyekiti wa Tume ya uchaguzi wanasema kanuni zipo tayari. Mwana CCM mwenzangu umeziona kanuni hizi mpya za uchaguzi? Nani amezitunga? Je...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…