Unamjua "KANYABOYA"?
Kanya Boya alikuwa bondia wa ngumi za kulipwa kutoka Burundi. Bondia huyu, jina kamili Felix Kanyaboya alikuja Tanzania kati ya Miaka ya 1986/1987. Alikuwa anafikia Hotel za mitaa ya Kariakoo...
2/ Sifa yake kubwa ilikuwa ni mikwara, kama Mandonga. Siku ambayo alikuwa na...