Katika Hafla ya Kusherekea Siku ya Kimataifa ya Wanawake duniani, Mtandao wa Kutetea Haki za Wanawake, #TGNP, umehimiza Wanawake kujisajili katika mfumo wa kuhifadhi data mtandaoni unaokurekodi, kuhifadhi na kusambaza wasifu wa Wataalamu Wanawake wa Kitanzania walioko ndani na nje ya nchi...