karakana

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. L

    Karakana ya Luban yachochea moyo wa uvumbuzi kwa vijana barani Afrika

    Katika miaka ya karibuni, China na Afrika zimehimiza ushirikiano wao katika sekta mbalimbali kwa njia ya kiuvumbuzi, mfano ukiwa ni karakana ya Luban, ambayo imekuwa alama ya ushirikiano kati ya pande hizo mbili katika mafunzo ya ufundi stadi. Karakana ya Luban ni sehemu ya ushirikiano kati ya...
  2. U

    IDF yafanya shambulizi kubwa Beirut, yalipua makao makuu ya Hezbollah, karakana ya kuunda silaha chini ya ardhi, yaua makamanda watatu

    News alert IDF yafanya shambulizi kubwa Beirut, yalipua makao makuu ya Hezbollah, karakana ya kuunda silaha chini ya ardhi, yaua makamanda waandamizi 3 Wadau hamjamboni nyote? Jeshi la Israel limefanya mashambulizi makubwa na kusambaratisha kituo kikuu cha uongozaji cha Hezbollah huko Beirut...
  3. W

    Stendi ya Mawasiliano kufungwa rasmi kupisha ujenzi wa karakana ya Mwendokasi

    Kituo cha Daladala Simu2000 kimefungwa leo Septemba 14, 2024 kupisha ujenzi wa karakana ya mabasi yaendayo haraka maarufu mwendokasi. Karakana hiyo ni kwa ajili ya mradi wa mabasi hayo awamu ya nne. Viongozi wa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo kupitia Mkuu wa Idara ya Biashara, Viwanda na...
  4. Msanii

    Haki za Binadamu: Vitengo vya karakana ndani ya vituo vya polisi ni kwa kazi gani? Uchunguzi huru ufanyike

    Kumekuwepo malalamiko kutoka kwa baadhi ya wahanga wa mateso yatolewayo vituo vya polisi kuhusu uwepo wa KARAKANA za utesaji ndani ya vituo vya polisi nchini. Haya ni sehemu ya maelezo ya kijana SATIVA kupitia mtandao wa X alipokjwa anaelezea kutekwa kwake na jaribio lililoshindwa la kumuua...
  5. Aramun

    Hivi unaendaje kuweka karakana ya Mwendokasi katikati ya mji? Bado hamjajifunza kwa kilichotokea Jangwani?

    Bado hamjajifunza tu, mwanzo mlifosi mkaweka karakana pale Jangwani, kilichowapata kila mtu anajua. Mwaka huu tena mmeamka na akili zenu finyu mnataka kwenda kuweka karakana pale Simu 2000 a.k.a Mawasiliano. Hivi ni mnatumia akili kufikiri au mnatumia mgongo? Kwa sasa mradi wa mwendokasi...
  6. BARD AI

    Air Tanzania yadai uhaba wa Injini umesababisha Ndege kukaa muda mrefu Karakana Malaysia

  7. L

    Karakana ya Luban yasaidia vijana wa Afrika kutimiza ndoto zao

    Miaka 600 iliyopita, baharia wa China Zheng He aliongoza kikosi cha majahazi kusafiri hadi kwenye pwani ya mashariki ya Afrika mara nne, na kwamba Njia ya Hariri Baharini ilishuhudia historia ndefu ya mawasiliano kati ya China na Afrika. Miaka 600 baadaye, karakana za Luban zilipewa jina la...
  8. S

    Kama ni kweli stendi ya Simu 2000 kubadilishwa matumizi na kuwa karakana ya DART ni kuwakosea wana Ubungo

    Hizi habari za kusikitisha na kuumiza sana kwa wakazi Ubungo, Nilivyosikia ni kuwa Stand ya Simu2000 inataka kubadilishwa matumizi na kuwa KARAKANA YA DART, Kama habari hii ni yaukweli basi niswala lakusikitisha na kuwakosea wanaubungo. Kubadilisha Matumizi ya stand hii na Soko ni muendelezo...
  9. FRANCIS DA DON

    Je, karakana ndogo ya kuzalisha ‘transformer’ ndogo za umeme inaweza kuhutaji mtaji wa kiasi gani?

    Mfano karakana ya kawaida tu kama hiyo iliyopo kwenye video hapo, naweza kuikamilisha na ikaanza uzalishaji kwa milioni 50? Na je, wataalam kutoka VETA wapo nioweza kuwajiri na wakafanya huu uzalishaji? Na je, kuhusu soko, Tanesco bado wana sera ya kununua bidhaa za ndani kwanza kabla ya vya nje...
  10. Equation x

    Fungua karakana ya kuongeza thamani kwa vitu vilivyotumika

    Kwa leo nitaongelea viatu 'used'/mtumba Kuna siku nilitembelea duka moja la viatu vya mtumba mkoani Arusha; hivyo viatu vilikuwa vinatoka Italy, kuuliza bei, naambiwa sh. 185,000/=. Hapo nikawa nimepata wazo la kiujasiriamali kichwani:- Utaanzaje sasa:- Nunua mashine ya kushonea viatu Tafuta...
  11. J

    TBS: Warsha ya Wadau wa vipuri na karakana za kuunda na kutengeneza magari

    TBS: WARSHA YA WADAU WA VIPURI NA KARAKANA ZA KUUNDA NA KUTENGENEZA MAGARI Mkurugenzi wa Shirika la Viwango Tanzania (TBS) Dkt. Athuman Y. Ngenya amefungua warsha kwa wadau wa Vipuri vya Magari na wamiliki wa karakana za kuunda na kutengeneza Magari. Warsha hiyo inafanyika hii leo Tarehe 4...
  12. E

    INAUZWA Vifaa vya karakana na Kiwandani vinauzwa

    Tunauza na kurekebisha vifaa vya kufanyia kazi kwenye karakana na kiwandani. Kwa wamiliki wa karakana, kiwanda kidogo na kikubwa ,Sasa unaweza kupata vifaa vinavyodumu kwa bei rafiki kutoka kampuni ya Total Tools ya nchini China. Kwa shughuri zako zote mfano: fabrication modification forging...
  13. Chagu wa Malunde

    Kama Sabaya alikuwa na karakana ya kutesea watu, mbona Mbowe hakusema alipokuwa Bungeni?

    Hizi ni siasa za kinafiki tena zisizofaa kabisa. Maana mbunge kama muwakilishi wa wananchi alafu unakaa kimya ukishuhudia wananchi wako wakiteswa na kug'olewa meno. Baadae unaibuka kinafiki baada ya mtuhumiwa kukamatwa na kuleta tuhuma zako. Kuwa kuna karakana ya kutesea watu uliishuhudia...
  14. kyenshaja

    Tunatafuta Wabia kwa mradi wa 1.Mafuta ya alizeti (2)Kufuga kuku wa kienyeji (3)Kufungua karakana na mafunzo ya kazi ya mikono

    Tunahitaji kupata wabia kushirikiana kwa mradi wa kuchakata mafuta ya kula na usambazaji mbegu kwa wakulima,ufugaji wa kuku na mafunzo ya kazi ya mikono pamoja na kufungua Karakana kwa fani ya ushonaji,useremala,uashi,ujenzi, uchomaji vyuma na uhunzi, viatu,magari,maji na umeme kwa vijana kupata...
Back
Top Bottom