karakana mwendokasi simu2000

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Heparin

    Machinga wa Soko la Simu2000, Dar es Salaam wagoma na kufunga barabara asubuhi ya leo, Julai 8, 2024

    Wafanyabiashara wadogo maarufu kama wamachinga katika Soko la Simu2000, jijini Dar es Salaam wameanza mgomo asubuhi ya leo Jumatatu Julai 8, 2024 kwa kufunga barabara, huku wakiimba nyimbo za kudai haki yao. Wamachinga hao wanadaiwa kulalamikia mpango wa sehemu ya eneo wanalofanyia kazi zao...
Back
Top Bottom