Amani iwe kwenu watanzania wote
Kumeibuka tabia ya watu wengi kutokujua ni nini maana ya ushamba, na hii yote inachangiwa na watu kutokuwa na elimu vyema , hasa ukizingatia kuwa CCM wamewanyima watanzania elimu iliyo bora ili waendelee kuwatawala inavyotakiwa yaan kisawa sawa
Watanzania wengi...
Adui namba moja wa mwanadamu ni "Sifa"
Sifa ni neno dogo lenye herufi nne, lakini limeumiza, limeangamiza, limeua na limepoteza haiba, roho, nafsi, karama, vipaji na uwezo wa wanadamu wengi sana duniani.
Bila shaka wahenga walijua madhara na athari za sifa, wakaonya kuwa "mgema akisifiwa tembo...
Huhitajiki kua Rais ili uwe Kiongozi Bora Bali kuielewa tafasiri halisi ya Uongozi inatosha kabisa kuwekwa Moyoni mwa Wananchi.
Mpango, Majaliwa, Mko wapi?? Mbona Uthubutu alonao Makonda, ni mkubwa kuliko hata Nafasi yake?.
Ni sahihi kusema Makonda amezaliwa kua Kiongozi?.
Katibu Mwenezi...
Uongozi ni Karama, Uongozi ni Taranta, Uongozi ni Zawadi Kutoka kwa Mungu wa mbinguni
Ipo tofauti kubwa Kati ya Leader, Manager na Administrator
Freeman Mbowe is a leader
Kiongozi wa Upinzani kuaminiwa na Viongozi wa Dini na wakatumia Jukwaa lako kuikosoa na kuishauri Serikali siyo jambo...
Hizi Ziara za Samia zinawaacha wananchi wakiwa wamekata tamaa tu.
Kwanza anawapandisha wapiga pambio tu, wanamsifia mda wote as if wananchi alosimama nao hawana changamoto.
JPM alikuwa anasikiliza wananchi na kelo zao kisha anatoa maelekezo kwa wasaidizi wake. Ziara za JPM zilikuwa na...
Ndugu zangu rais huyu ukimtazama vizuri kuanzia speech zake na action anazozichukua utagundua kuwa Hana nongwa na mtu, Ila Kuna watu wananongwa na rais.alianza vizuri Sana na hajabadilika ni Yule Yule na Nia yake ni ileile.ya kuwaunganisha watanzania.kutibu majeraha yaliyotokana na mbinyo wa...
Wadau mjumbe hauwawi,,tulikosea Sana kumwamini lissu kuwa anafaa kuwa rais wa nchi ,tulikosea Sana na hii kitu imekighalimu Sana chama chake,,tulidhani Kila mhubiri anafaa kuwa mchungaji,,la hasha wengine wanatakiwa tu kuwa wainjilisti na sio wachungaji,,au tulidhani kuwa mchungaji wa mifugo...
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Naomba kupata ufafanuzi/maana na tofauti ya maneno haya ya Kiswahili:-
1. Kipaji
2. Kipawa
3. Karama
Natanguliza shukrani.
Bahati mbaya vijana wengi humu JF hawakuwahi kumwona wala kumwelewa Mwalimu Nyerere. Mimi nilibahatika nyakati hizo nikiwa shule ya msingi, kiongozi wa chipukizi, nilipeana mkono naye kara moja. Na mara ya pili na ya tatu l, akiwa amestaafu.
Nilipata kuvisoma vitabu vyake vichache, na wakati...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.